Wananchi Walalamikia Utaratibu Mbovu Meli ya Matibabu ya Bure Kutoka China

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wananchi wengi wajitokeza kupata matibabu bure katika meli ya madaktari kutoka China. Baadhi walalamikia utaratibu mbovu unachangia msongamano wa watu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nivudharalishaji wa watanzania. Ni aibu kwa serikali ya Tanzania.Ni upotoshaji na kuficha ukweli wa mambo.
    Badala ya kujenga hospitali nzuri, kununua vifaa ili madaktari wetu wadio na ajira kwa heshma zao watumie elimu zao kuwaponya watanzania.wanawatunuku wachina na kuwatumia maskini watanzania kupata matibabu ya bure toka china, na china kujiongezea sifa na umashuhuri. Aibu gani kwa Taifa. Ni wasiojua namna ya kushirikiana na matsifa kama china kuleta maendeleo ya kweli taifa linaleta mchezo wa aibu namna hii.hamna madakatari wasio na ajira, wengi tu.mipango na mbinu za maendeleo CCM hakuna. Badala yake wanatumika akina Makonda, elimu hawana kuzidi kuwaleta watu wa nje bila kujali madhara yake. Fijra hawana za kutatua maendrlro ya wananchi. Badala yake wameamua kupokea misaada ya kijeshi toka china, na wachina ndio wenye sauti. Wanatoa mapendekezo kwa manufaavyao sisi wajinga kazi yetu ni kusema ndio. Whst a shame. Huna majivuno Mtanzania, raslimali unazo, bado unadharalika, na huku wakiiba radlimali zetu. Hii inferiority vomplex ya kuabudu itakwisha lini.Watu waungane tubadili mfumo wa elimu, wanafunzi hawajui kufikiri.watu waelimike wawe huru kifikra. Watu wakatae kuwrkwa chambo. Hawajui maendeleo ya kweli na hawajui hii misaada inaua maendeleo, inaus ukuaji kiuchumi, unajrnga tegemezi. Na inawspumbaza watanzania kwa dhamira ya kuchagua tena ccm. Ccm imeidhiwa na miongozo. Haina mwrlekeo. Haina mipangilio. Inapokea na kukubali kila mabepari watakacho. Viongozi wetu hawajui namna ya kujitawala hata.na kwa vile hawajui, huwezi kuwaonyesha. Watakudhibiti.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hujielewi hata kiswahili chako kinajionyesha, na kama kuchoka umechoka wewe na wala siyo CCM

      Delete
    2. nyooooooooooooooooooooooooooo

      Delete
  2. we ndo ovyo hiyo hospitali watatibiwa bure au hao madakitari una shea nao acha ufamba wewe sio wote wa kwenda hizo hospitali mbona muhimbili ipo na hawajaenda umevurugwa au umetumwa na bibi yako?.

    ReplyDelete

Top Post Ad