"Wanawake wa Bongo Wanalazamisha Ndoa" - Dudu Baya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii Dudu Baya amesema wanawake wa Tanzania wana kawaida ya kulazimisha ndoa, hasa wanapopata ujauzito hata kama ni kwa bahati mbaya.

Dudu Baya ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye Planet Bongo ya East africa Television, na kusema kwamba jambo hilo haliingii akilini kwani walipokutana hawakukubaliana kuona.

"Mimi mwanamke wangu ni bapa, wanawake wa kitanzania ukishampa mimba ndo kashalazimisha ndoa, suala la ndoa ni makubaliano na kama ukimuacha ndo anaenda kukupiga misumari", amesema Dudu Baya.

Pia Dudu Baya amesema kwa sasa anatamani angeoa, kwani tayari ana watoto ambao wengine ni wakubwa.

EATV
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad