Wolper Alia na Mastaa Kutomsapoti Katika Biashara Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wolper Alia na Mastaa Kutomsapoti Katika Biashara Yake
STAA wa Bongo Movies, Jacquline Wolper amesema kuwa mastaa wengi hawapendi kupeana ‘sapoti’, kiasi kwamba hata kama staa mwenzao akiwa na biashara yake wapo radhi kununua kwingine lakini si kwake, ili tu wamkomoe.

Akichonga na gazeti hili, Wolper alijitolea mfano kwa kusema kuwa tangu amejiingiza kwenye biashara ya ushonaji, watu wengi ambao wamekuwa wateja wa biashara zake ni wa kawaida tu na wasanii wenzike hawazidi hata watatu. “Unapofanya maendeleo kwa sisi mastaa wenzako si kwamba wanapenda.
 Wananuna ndiyo maana huwezi kuwaona wakikusapoti,” alisema Wolper.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo sio kwa mastar tu. Wales Tanzania wengi wana roho za vijicho. Hata wakiwa nje ya nchi watawa support wa Kenya na wa ganda kuliko mtanzania mwenzao. Ni roho mbaya tu na wivu wanaona utafaidi

    ReplyDelete

Top Post Ad