Kikwete Amtumia Salamu za Pole Mrisho Ghambo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kikwete Amtumia Salamu za Pole Mrisho Ghambo

Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amefunguka na kumpa pole Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kufuatia Mkuu huo wa Mkoa kuuguliwa na mama yake mzazi.


Mrisho Gambo alitumia mtandao wake wa kijamii kutoa tarifa kuwa anauguliwa na mama yake mzazi ambaye amelazwa hospitali akisumbuliwa na maladhi, ndipo hapo Ridhiwani Kikwete alifunguka na kumpa pole.

"Hakika ni mtihani mkubwa unaupitia rafiki yangu. Kuuguliwa na Mama sio jambo la kawaida ni mtihani mkubwa sana. Mwenyezi Mungu akuvushe katika mtihani huu. Utashinda katika hali zote. Pole ya Kuuguza Mrisho Gambo" aliandika Ridhiwani Kikwete
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pOLE mH. mRISHO gAMBO.
    Mungu atakupeni ujasiri katika kumuuguza Mama na Kuirudisha Afya njema kwa Haraka.
    Dua na Sala zetu pamoja na ww.

    ReplyDelete

Top Post Ad