Lissu Atamani Kurudi Bungeni Afunguka Vitu Anavyovipenda Akiwa Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lissu Atamani Kurudi Bungeni Afunguka Vitu Anavyovipenda Akiwa Bungeni
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema kuwa anapenda kazi ya ubunge kwasababu ya mapambano ya kisiasa na kiitikadi ndani ya Bunge huku akieleza kuwa una mkaba Waziri mpaka anashindwa kwa kukimbilia.

Lissu akiongea na Azam News amesema kuwa kuna watu wanapenda ubunge kwasababu unapesa au kutokaa foleni.

“Mimi napenda kazi ya ubunge, kuna watu wanapenda ubunge kwasababu una pesa una manufaa unaitwa muheshimiwa hukai kwenye foleni kwanza hukai kwenye foleni mimi napenda ubunge mule ndani ya hasa yale mapambano ya kiitikadi, na kisiasa mule ndani ya bunge, unamkaba waziri mpaka anakosa pakukimbilia, hiyo ndiyo kazi naipenda mimi, hivyo hakuna kazi ninayoimisi mimi kama kazi ya ubunge bungeni,”amesema Tundu Lissu.

Mbunge Lissu alishambuliwa kwa kupigwa risasi eneo la ‘area D’ mjini Dodoma na watu wasiojulikana.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu Kweli Anafaa???

    "Lissu amesema kuwa anapenda kazi ya ubunge kwasababu ya mapambano ya kisiasa na kiitikadi ndani ya Bunge huku akieleza kuwa una mkaba Waziri mpaka anashindwa kwa kukimbilia."

    "kuna watu wanapenda ubunge kwasababu una pesa una manufaa unaitwa muheshimiwa hukai kwenye foleni kwanza hukai kwenye foleni mimi napenda ubunge mule ndani"

    Lissu ikiwa hii ndiyo fikra yako na mtazamo wako.

    Basi hii ulivyo funguka inadhihirisha kuwa ni mtafutaji na mpendaji wa Mitafaruku.

    Na haufai wewe kuwa katika hii kazi.
    Ugua pole.

    ReplyDelete

Top Post Ad