Masogange Afunguka Kuhusu Misukosuko Aliyokumbana Nayo Mwaka 2017 "Sitousahau Mwaka Huu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Masogange Afunguka Kuhusu Misukosuko Aliyokumbana Nayo Mwaka 2017 "Sitousahau Mwaka Huu"
MUUZA nyago mwenye jina kubwa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange; amefunguka kuwa, hakuna mwaka aliopata misukosuko kama 2017 na kujikuta akishindwa kufanya vitu vyake vingine.

Akizungumza na Ijumaa wikienda, Masogange alisema kuwa, muda mwingi alishindwa kwenda kufuata biashara zake kutokana na kukabiliwa na kesi mahakamani hivyo kufanya dili zake nyingi kubuma.

“Bora tu 2017 uishe na mambo mengine yaendelee. Ulikuwa ni mwaka mgumu sana kwangu kwa kila kitu kutokana na kesi inayonikabili (ya matumizi ya madawa ya kulevya), labda mwaka mpya ukianza na mambo mengine yataenda vizuri,” alisema Masogange
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad