Siwezi Kuomba Support Kutoka Team Diamond- Abdukiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siwezi Kuomba Support Kutoka Team Diamond- Abdukiba
Msanii wa Bongo Flava, Abdu Kiba amesema hawezi kuomba support kutoka team Diamond ingawa hana tatizo nao.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Single’ aliyomshirikisha Alikiba ameiambia Planet Bongo, East Africa Radio kuwa kufanya hivyo atakuwa ameenda kinyume na label yake ya sasa ‘King’s Music’.

“Sidhani, siwezi kufanya hicho kitu, mimi ni Abdu Kiba kama Abdu Kiba ila siwezi kuanza kufanya hivyo kwa sababu kwanza nitakuwa nimewakwaza mashabiki wangu, cha pili nitakuwa nimeruka miiko ya label yangu” amesema.

Alipoulizwa iwapo team zina umuhimu katika muziki, ajilibu; “kitu kama hicho lazima kiwepo kwa sababu ili aweze kupatikana bora ni lazima awepo mpinzani kuweza kumpata bora, s o kitu kama hicho kinatakiwa kiwepo lakini siyo kiwe too much”.

“Still bado naona kawaida, nahitaji kuona mapambano bado yanendelea ili tuweze kujua nani bora” alisisitiza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad