Tanzia: Waziri Mstaafu Joel Bendera Afariki Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tanzia: Waziri Mstaafu Joel Bendera Afariki Dunia
Aliyekuwa Waziri wa Habari Mstaafu na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mstaafu, Mh. Joel Bendera amefariki dunia jana jioni  katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho  Afisa Habari wa Muhimbili , Aminiel Eligaeshi amesema kwamba walipomkea Mh. Bendera majira ya saa 12:24 Mchana  akitokea Bagamoyo na amefariki  saa 4:03 jioni ambapo chanzo cha ugonjwa wake hakijawekwa wazi.
Akituma salamu za rambirambi kwa familia ya Marehemu Mh. Khamis Kagasheki amesema kwamba amepokea kwa mshtuko taarifa ya kifocha bendera na kwamba kipindi cha uhai wake marehemu alilitumikia taifa kwa jitihada kubwa.
"Nimepokea kwa mstuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ndg Joel Bendera. Alilitumikia Taifa letu kwa jitihada kubwa. Kwa kutaja machache, aliwahi kuwa Mbunge, Naibu Waziri, Mkuu wa Mikoa kadha nk. Pole zangu kwa family, ndugu, rafiki,wa marehemu. Rest in peace Joel" Mh. Kagasheki.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. R.I.P. muheshimiwa.

    Lakini ndugu mwandishi umetuchanganya na huo muda, ni kiswahili ama kidhungu??

    ReplyDelete

Top Post Ad