Wajanja Wamshikisha Adabu Nisha, Wampokonya Mabwana Zake Wawili Wamshushia Mvua ya Matusi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wajanja Wamshikisha Adabu Nisha, Wampokonya Mabwana Zake Wawili Wamshushia Mvua ya Matusi
MSANII maarufu wa Bongo Movie ambaye huitendea vyema tasnia hiyo hasa akicheza scene za komedi, Nisha ameibuka na kueleza kusikitishwa kwake na kitendo cha kupokonywa mabwa zake wawili kwa nyakati tofauti kisha mhusika kumshushia mitusi hadharani.

Nisha kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:

“Halafu me nimepooza kweli, nimechukuliwa wanaume mara mbili nikanyamaza kimya, hata kuna aliyeniibia akajifanya mbabe kuja kunichamba kwenye page yangu eti kama wa kwangu kwa nini sijatangazwa naye

“Nikamnyamazia hajui niling’atwa na nyoka sikutaka na yule anipe sumu ingine ningekufa kwa kipindi kile kuweka mahusiano nje ni mimi sikutaka, na nilijua hata yake yake yasingedumu.

“Natamani 😂yangejirudia sa hivi nichambane,nitupiane vidongo km Tanzania na Uganda 😂 KUMBE INAWEZEKANA EE 😐bad lucky wa sasa simwaniki maana ndo nishapiga nanga musije mbeba naye 😐,” ameandika Nisha.

Aidha Nisha hajabainisha ni mabwana wapi aliyopokonywa na alipokonywa na nani.

 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mie safari hii siondoki kwako. Ndiyo nimeshatia Nanga. Kuwa na Amani kabisa...!!!
    Watatuona hivi hivi...Labda Hamlapa asipomchukua Wema. hapo Wema akijuleta Mzima mzima unawza Kushare naye. Singida-Dodoma.

    ReplyDelete

Top Post Ad