Zitto Kabwe Ageukia Afrika Kusini Ataka Rais Zuma Aondolewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zitto Kabwe Ageukia Afrika Kusini Ataka Rais Zuma Aondolewe
Mbunge wa Kigoma mjini na kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma aondolewe kwenye nafasi ya Urais mara moja hata wiki hii.


Zitto Kabwe amesema hayo kupitia mtandao wake wa kijamii kufuatia uchaguzi wa Chama Cha ANC cha nchini Afrika Kusini ambapo walikuwa wakifanya uchaguzi kuchagua Rais na Makamu wake ndani ya chama.

"Jumatatu (leo) tutakuwa na Rais mpya wa Chama cha ANC. Kura zinapigwa hivi sasa huko Johannesburg. Ingawa nina ukakasi na Cyril Ramaphosa kuhusu Marikana, ninaunga mkono yeye kushinda na Makamu wake awe Lindiwe Sisulu. Pia Zuma aondolewe Urais mara moja baada ya wiki inayoanza kesho (leo)" aliandika Zitto Kabwe

Aidha Zitto Kabwe amesema kuwa ushindani wa uchaguzi wa ANC ni funzo kubwa kwa vyama vya siasa kuhusu Demokrasia ya ndani ya vyama hivyo.

"Uongozi imara wa Afrika Kusini ni muhimu sana kwa SADC na AU. Ushindani mkali wa Uchaguzi wa ANC ni funzo kubwa kwa vyama vyetu kuhusu Demokrasia ya ndani" aliandika Zitto Kabwe

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Je haya yako Zito zumbweli kambwe?
    yana kuhusu Zinto zumbweli kambwe?

    Wasamaria wema Msaidieni Dogo anapoteza Dira na majira.

    ReplyDelete
  2. Yakwako-yanakushinda-yajirani-utayaweza??

    ReplyDelete
  3. Du wadau hamkosi cha kukoment, kifup zipo south afrika ni taifa Mkubwa hakuna siasa za maji taka

    ReplyDelete
  4. Du wadau hamkosi cha kukoment, kifup zipo south afrika ni taifa Mkubwa hakuna siasa za maji taka

    ReplyDelete

Top Post Ad