Zitto Kabwe Ameonekana Kutofurahishwa na Uamuzi wa Rais Magufuli Kuwasamehe Babu Seya na Mwanawe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameonekana kutofurahishwa na uamuzi wa Rais Magufuli kusamehe wafungwa ambao ni wanamuziki mashuhuri, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye 'Papii Kocha'.

Tangu utangazwe msamaha huo, Zitto amekuwa akiandika na kutoa kauli zinazoonesha kupingana na jambo hilo licha ya Rais kuwa na mamlaka kikatiba kumsamehe mfungwa yeyote akiona inafaa..

Miongoni mwa kauli zake huko Twitter;

"I have read judgement that convicted Babu Seya and son. And judgements at the high court appeal, appeal at court of appeal and petition at African Court. I am appalled by decision to pardon convicted rapists. Devastated by statements to congratulate such a decision" ZZk.

"Waliozomea na kuzodoa ahadi ile walikuwa sahihi. Wanaomzomea Rais kwa kutoa msamaha wapo sahihi pia. Hakuna sababu kuzodoana. Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela" ZZK.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Roho Ya Korosho hiyo yao utabaki hivyo hivyo...Huyu na wa kule kwenu.
    Angalia loho mbaya... Huyu Kama Unaijua Marquiz Du Zaire ... Habari ndiyo Hiyo.... Na wewe Je..???
    Wacha Roho Mbaya Zitto Zuberi Kabwe au unataka tuanze kukuangalia na Wewe...!!! Nyani haoni .... Dule

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ngoja babu seya akamlawiti mamayo ndio utailewa kabwe kasema nini

      Delete
    2. Ngoja na wewe shetani akupitie Uka mawiti Mama yako ndio utajua Dunia Tambara Bovu

      Delete
  2. Kabla hujafikwa na tatizo uwezi jua ukubwa wa tatizo,ipo siku chini ya dunia hii atafikwa tu ndipo atakapojua unachokisema ZZK.

    ReplyDelete

Top Post Ad