Alichoandika Mama wa Mtoto Aliyebaguliwa na Kampuni ya Nguo ya H&M

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alichoandika Mama wa Mtoto Aliyebaguliwa na Kampuni ya Nguo ya H&M
Baada ya ubaguzi wa rangi kufanyika kwa mtoto wa kiume na kampuni ya nguo ya H&M kwa kumvalisha nguo yenye maneno ya kudhalilisha watu weusi yanayosema “Coolest Monkey in the Jungle” yakimaanisha “Mimi ni nyani mtulivu msituni”

Mastaa kadhaa kutokea Marekani walichukizwa na kitendo hicho kilichofanywa na kampuni hiyo ya H&M akiwemo  P.Diddy, T.I huku THE WEEKEND  akitaka kujitoa katika mkataba wa kufanya kazi na H&M baada ya kuona kitendo hicho cha kibaguzi.

Kupitia mtandao wa instagram maneno ya mama mzazi wa mtoto huyo yamewashangaza wengi baada ya mama mzazi wa mtoto huyo kuwataka watu waache kulia muda wote kutokana na ishu hiyo ya mwanae kwamba haina ulazima wa kuiongelea kwenye mitandao ya kijamii.

Baada ya maneno ya mama huyo watu wengi wametafsiri kuwa huenda akawa hampendi mwanae au hajali kwa unyanyasaji aliofanyiwa mwanae, wengi wamehisi kuwa huenda kampuni ya H&M imempa pesa mama huyo ili kujisafisha na kulifanya suala hilo lionekane la kawaida.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad