Mama Aliyejifungua Watoto Watatu Mapacha Awapa Majina ya Viongozi Chadema Mbowe, Lissu na Halima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama Aliyejifungua Watoto Watatu Mapacha Awapa Majina ya Mbowe, Lissu na Halima
Mwanamke mmoja Martha Haule mkazi wa  Sumbawanga mkoani Rukwa amejifungua watoto mapacha watatu na kuwapatia majina ya Halima Mdee (wa kike) pamoja na Mbowe(Freeman) na Lissu (Tundu).

Taarifa iliyotolewa na Chadema Kanda ya Nyasa na kuthibitishwa na mwenyekiti wa kanda hiyo, Mchungaji Peter Msigwa imeeleza kuwa watoto hao ambao wana mwezi mmoja wamezaliwa kufuatia mwanamke huyo kupata uchungu ghafla baada ya kusikia Mwenyekiti huyo wa Baraza la Wanawake wa Chadema(Bawacha), Mdee atazuru Sumbawanga na kutembelea kikundi chao cha Wanawake Tunaweza kilichopo katika Kata ya Mafulala.

Mwenyekiti huyo wa Bawacha leo  Alhamisi Januari 11 akiwa katika siku ya pili ya ziara yake yenye lengo la ujenzi na uenezi wa chama ikiwa ni pamoja na kuangalia uhai wa baraza hilo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad