Azam FC: Tumejipanga Kuchukua Point Tatu za Yanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Azam FC: Tumejipanga Kuchukua Point Tatu za Yanga
MCHEZO kati ya Timu ya Azam FC dhidi ya Timu ya Yanga unaotarajiwa  kuchezwa Jumamosi saa 1 usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Timu ya Azam imesema   kuwa Timu imeishaingia Kambini kwaajili ya maandalizi ya mchezo huo.

Akizungumzia kuelekea kuhusu mchezo huo Afisa Habari wa Azam FC, Jaffary Iddy Maganga amesema kuwa  kikosi cha Azam FC iko imara katika kuweza kuwakabili Yanga na matokeo ya mchezo huo ni Dakika 90.

Azam watashuka dimba ni siku hiyo dhidi ya YangAfricans mchezo utakaokuwa wa kukata na shoka ambapo timu zote mbili zitakuwa na hamu ya kupata Ushindi  wa pointi Tatu siku hiyo.

“Baada ya Timu kurejea kutokea  Jijini Mbeya ambapo tulikokuwa na mchezo wetu na Tanzania Persons  jana imeingia kambini  na kuanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi dhidi ya YangAfrica. Mchezo huo utakuwa ni mgumu ukizingatia Yanga nayo ni timu nzuri na Ina kikosi kipana lakini na sisi tumejipanga kunyakua pointi Tatu zenye ushindi wa mabao” Amesema Maganga

Mpaka sasa hivi Azam FC anashika nafasi ya pili kwa kwa pointi  30 kwenye misimamo Tanzania Bara akifatiwa na mabingwa watetezi  YangAfrica  mwenye pointi 25, huku wakiingozwa na pointi 33 za timu ya Simba.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad