Hakuna Atakayeweza Kunikuwadia kwa Wanaume- Nandy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hakuna Atakayeweza Kunikuwadia kwa Wanaume- Nandy
Msanii wa muziki wa bongo fleva Nandy ambae anafanya vizuri kwa sasa na wimbo wake wa 'kivuruge' amefunguka na kudai hakuna mtu yeyote atakaeweza kumuunganishia kwa wanaume wenye pesa (pedeshee) bali kama watamuitaji wataenda wenyewe kwake.

Nandy ameeleza hayo kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuwepo tetesi za muda mrefu zinazodai kwamba msanii huyo amesababisha kuvunjika kwa kundi la 'LFLG' kutokana na aliyekuwa meneja wake ambae ni Petit Man kumkuwadia kwa 'vigogo' huku akifahamu tosha kwamba mrembo huyo anatoka kimapenzi na Bill Nas ambae pia alikuwa mmoja wa wasanii katika kundi hilo.

"Mimi mtu hawezi kunipeleka kwa mapedeshe kama kunifuata watanifuata wao wenyewe, hawezi mtu kunipeleka kwa mwanaume sijafikia hatua hiyo. Na sina mazoea na Petit ya kuunganishiana mizigo", alisema Nandy.

Kwa upande mwingine, Nandy amesema haoni umuhimu wa kuongelea mambo ambayo hayana msingi katika kipindi huku akisisitiza kwamba jambo la muhimu kwa sasa ni 'kivuruge' kushika namba moja Tanzania nzima pamoja na wimbo wao mpya na Aslay 'Subalkher'
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad