Hii Hapa Zawadi Aliyoitoa Obama kwa Mkewe Kwenye Birthday Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii Hapa Zawadi Aliyoitoa Obama kwa Mkewe Kwenye Birthday Yake
Jumatano hii ya January 17 ilikuwa ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya mke wa Rais wa 44 wa Marekani, Michelle Obama. Je unafahamu ni zawadi gani ambayo aliipokea kutoka kwa mumewe Barack Obama?

Kupitia mtandao wa Instagram Michelle amethibitisha kupokea zawadi ya maua kutoka kwa mumewe huyo.

Thank you @BarackObama for the beautiful flowers waiting for me in the office this morning. You’re my best friend, biggest fan, and getting notes and flowers from you will never get old. And to the many people from around the country who sent cards and posted on social media, you have no idea how much we love hearing from you. I know birthdays can sometimes be bittersweet (54!), but your messages of hope, generosity, and warmth have always reminded me how lucky and blessed we are.

Mbali na zawadi ya maua pia Obama amemuandikia mkewe huyo ujumbe unaosomeka, “Wewe sio tu mke wangu na mama wa watoto wangu, wewe ni rafiki yangu mzuri. Ninapenda nguvu zako, neema yako, na uamuzi wako. Na ninakupenda kila siku. Happy Birthday, @MichelleObama.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad