Mbowe Afunguka Haya Baada ya Lowassa Kutua Ikulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alicho Kisema Mbowe Baada ya  Lowassa  Kutua Ikulu
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa jinsi utawala wa awamu ya tano unavyoongoza nchi, inahitaji ujasiri wa ziada kusimama na kuusifia.

Mbowe amesema hay oleo Jumanne muda mchache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward  Lowassa kwenda Ikulu.

Amesema mwaliko wa Lowassa ni wake binafsi na wala hauhusiani na Chadema na hata kile alichokizungumza cha kumsifia Rais Magufuli ni mawazo yake binafsi.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbowe wewe asiyekujua nani kwamba ni CCM B tuachie chama chetu nenda huko unajifanya unafyatuka kumbe hamna lolote

    ReplyDelete
  2. Lowassa Ni Jasiri wa ziada kama ulivyo nena mtowe.
    Lowassa ni mwanasiasa na sio kama wewe na wanzako wasioijua siasa na kujifanya wana siasa.
    Utakufa na kiu ya siasa na Hauto ijua siasa wala kuwa mwana siasa. Muulize Jitto. atakupa tafsiri.

    ReplyDelete

Top Post Ad