Msami Amedai Hayupo Tayari Kuonekana Katika Video ya Msanii Yeyote.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msamii Amedai Hayupo Tayari Kuonekana Katika Video ya Msanii Yeyote.
Msanii wa muziki Bongo, Msamii amedai kuwa kwa sasa hayupo tayari kuonekana katika video ya msanii yeyote.

Muimbaji huyo anayefanya vizuri na ngoma ‘Mdundo’ ameiambia E-Newz ya EATV kuwa amechukua uamuzi huo ili kuweza kufanya zaidi kazi zake binafsi.

“Kwanza nisema tu sipo tayari kuonekana kwenye video ya msanii yeyote, iwe kwa style yoyote iwe kucheza, kuonekana tu nimeuza sura, yaani siwezi kuonekana labda kuwe na faida kubwa sana naipata,” amesema Msami.

Ameongeza kuwa kwa sasa yupo buys kufanya muziki wake na kazi ya uchezaji amewaachia watu wengine kwa sababu ameona umefika wakati wa kufanya hivyo ili na wengine wapate nafasi hiyo pia.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad