Ndoa ya Wolper si ya Nchi Hii....... Kufanyika Bongo na Marekani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ndoa ya Wolper si ya Nchi Hii....... Kufanyika Bongo na Marekani
ILE sherehe ya ndoa yaani harusi ya staa mkubwa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe itakuwa na mbwembwe ambazo si za nchi hii kwani itafanyika Bongo kisha Marekani.


Katika mahojiano maalum, Wolper alilieleza Ijumaa Wikienda kuwa, harusi hiyo itafanyika hivi karibuni na inatarajiwa kuwa ya gharama kubwa kwani itaacha historia.

Wolper alisema kuwa, harusi hiyo itagharimu takriban shilingi milioni 60.

“Milioni kama 50 zitatumika kwenye sherehe ya hapa Bongo na nyingine 10 nje kwa sababu kule Marekani hatutakuwa na watu wengi sana,” alisema Wolper.

Wolper alisema kuwa, katika sherehe ya Marekani itabidi aende na wasanii wanne tu wa Bongo ambao atawalipia nauli ya kwenda na kurudi na kuwapa pesa ya kujikimu.

“Wasanii ambao nitaenda nao kwa ajili ya kuhudhuria harusi yangu ni wanne tu, mmoja kati yao ni Aunt Ezekiel kwa sababu huwa ananipa sapoti kwenye biashara zangu hivyo siwezi kumwacha,” alisema Wolper ambaye hivi karibuni alitolewa mahari na mwanaume aitwaye
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad