Picha: Akamatwa Uwanja wa Ndege DAR Akiwa Ameficha Dola 83,000

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Maafisa wa Forodha wakishirikiana na Polisi na Maofisa wa Usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wamemkamata Boniface Aldo Mbilinyi (32) wakati akikaribia kusafiri kwenda Dubai na kiasi kikubwa cha fedha ambacho hakukitolea ufafanuzi.

Boniface ambaye ni raia wa Tanzania, makazi wa Tabata Segerea mwenye hati ya kusafiria nambari AB 757247, eneo la juu la kuondokea abiria Terminal II wakati akisubiri kusafiri na ndege ya Shirika la Ndege la Emirate kuelekea Dubai akiwa na jumla ya dola za kimarekani 123,000.

Abiria huyo ambaye ni mfanyabishara alitoa taarifa katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwa anasafiri na dola 40,000 (TZS 89,242,000), huku kiasi kilichosalia USD 83,000 (185,177,150) hakikutolewa ufafanuzi.

Baniface alikuwa akielekea Dubai kwa safari ya kibiashara.

Mamlaka iliyomkamata imechukua kiasi cha fedha USD 83,000 ambazo hazikutolewa taarifa na wameziweka kwenye akaunti ya dola ya FIU numba 20110028135.

Mtuhumiwa huyo anashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano zaidi.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad