Zitto Ataja List ya Viongozi Ambao Atawateua Ikitokea Amekuwa Rais wa TZ

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zitto Ataja List ya Viongozi Ambao Atawateua Ikitokea Amekuwa Rais wa TZ
Mchana wa leo January 30, 2018 kwenye ukurasa wa mtandao wa Twitter wa Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameandika watu ambao atawateua kushika nyadhifa mbalimbali za serikali kama atakuwa Rais wa Tanzania.

Ameandika kuwa atamchagua Mwanaharakati Maria Tsehai Sarungi kuwa Balozi wa Umoja wa Taifa huku Kaimu wake akiwa Mwanzilishi wa Nyama Choma Festival Carol Ndosi.

Amewataja pia Mbunge wa  Arumeru Mashariki Joshua Nassari na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano ya Umma wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu kuwa atawachagua kuwa Mawaziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Ulinzi wa Jamii na Biashara za Umma).

Zitto pia amewataja Mbunge wa Tarime Esther Matiko kuwa Waziri wa TAMISEMI, na Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) mkoa wa Geita Upendo Peneza kushika nafasi ya Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Hata hivyo Zitto ameongeza kuwa ambaye atamteua kuwa Katibu Mkuu Kiongozi hamtaji jina lakini yeye mwenyewe anajijua.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umekosea Angry Face.... Siyo Laisi wa Tanzania.
    Kwani isiwe kule kwenu.... Kuzimu au hata hapo Milembe unaweza kuanzisha selikali yanu.

    Wanye akili timamu wote wamekuondoka na wewe unaenda kuanzisha Selikali yako... Ina Utamu hapo..!!!
    Haya mie pia nipangie Wizala ya Usafishaji Viko... jozi. na upange bajet ya pempazi.

    Na niwe naibu wazili wa Kufunga na Kufungua Geti.... He heeeeee Vioja vya Msangu Zitto Zubeli Kabwe

    ReplyDelete
  2. Zitto Umetisha.. Umeshavaa suti langi ya Blue na Tai Shingoni.. Nani alikufunga Tai mwaya.
    Umependeza kama laisi ya Kweli..... Nani makamu wako Mwangu... Nipe ulaji.

    ReplyDelete
  3. Mawazo hewa kabisa. Usishangae kabisa kumuona raisi wa ndotoni Zito Kabwe akimchagua Nabii Tito kuwa waziri wa maadili na msaidizi wake akiwa Gig money.

    ReplyDelete
  4. Hahahahahahahaha dah Zitto mwishoooooooooo hahahahahahahahaha.......hivi huko ni kuchanganyikiwa amaaa?????? Wallah mbona Magu atachangisha mwaka huuu dah

    ReplyDelete
  5. Zitto hiyo ndoto ukitaka iwe kweli endelea kulala.

    ReplyDelete
  6. Zitto.... Tumekaa tunashauliana na washikaji Jirani zako hapa Milembe.
    Nabii Tito anasema tukupe Aspilini.
    Shika nasena tukushikishe Tertacycline
    Dokta wa shift inayoingia sasa hive anasema tukuletee Valium.
    Yule wa chumba cha pili amesema twende main swaitchi tuzime umeme habari kwisha.

    Sasa hebu tuambie wewe mwenyewe utataka vipi...manake hata sielewe.
    Nangoja maelekezo yako Dogo.... Unaumia mwaya.

    ReplyDelete

Top Post Ad