Kinje Afunguka Kuhusu Kifo cha Baba Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kinje Afunguka Kuhusu Kifo cha Baba Yake
KINJEKITILE Ngombale Mwiru ambaye ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu Ngombale Mwiru ambaye amefariki leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, amesema taratibu za mazishi ya baba yao zitafanyika baada ya familia kukaa pamoja leo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliofika nyumbani kwao, eneo la Victoria, Mwananyamala, jijini Dar es Salaam, amewapongeza madaktari wa Hospitali ya Muhimbili kwa jitihada zao za kupigania uhai wa marehemu lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi.

“Baada ya baba kuumwa na mbwa alianza kupata complications (matatizo) ya moyo na mapafu, hivyo kwa muda wa siku tatu alihangaika sana wakati akipatiwa matibabu, hivyo cha msingi ni sisi kumwombea kwa Mungu apumzike kwa amani,” alisema Kinjekitile
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad