Lwandamina Amtosa Ajibu Kwenye Mchezo wa Leo Dhidi ya Lipuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lwandamina Amtosa Ajibu Kwenye Mchezo wa Leo Dhidi ya Lipuli
Kocha wa mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Goerge Lwandamina, amemwacha nje ya kikosi cha leo mchezaji wa timu hiyo Ibrahim Ajib kwenye mchezo wa leo dhidi ya Lipuli FC.


Ajib ambaye anashika nafasi ya pili kwa ufungaji msimu huu ndani ya klabu hiyo hajaripotiwa kuwa ameachwa kwa sababu gani huku ikiwa ni mechi ya pili sasa ambapo aliachwa kwenye mchezo wa Kombe la shirikisho dhidi ya Ihefu FC.

Kwa upande mwingine daktari wa timu hiyo Dr. Bavu amethibitisha kuwa mlinzi wa kati Abdallah Shaibu 'Ninja' atakuwa nje kwa wiki 3 au 4 baada ya kuumia kwenye mashindano ya kombe la Mapinduzi.

Dr. Bavu ameeleza kuwa awali walijua ni tatizo dogo lakini baada ya uchunguzi wa kina tumegundua kuwa kuna tatizo kwenye kisigino na kifundo cha mguu wa kushoto.

Yanga leo inakutana na Lipuli FC kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa kwenye mchezo wa raundi ya 16 ligi kuu soka Tanzania Bara. Yanga inashika nafasi ya tatu ikiwa na alama 28 wakati Lipuli FC ikiwa na alama 16 katika nafasi ya saba.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad