Msanii wa bongo fleva Diamond platnumz baada ya kuachana na mama watoto wake zari, kutokana na kuwa na skendo mbali mbali za kimapenzi na wasanii tofauti akiwemo Hamisa mobetto amezaa nae mtoto mmoja na hivi karibuni kuonekana katika picha ya mahaba na wema sepetu ambae alikuwa na mahuziano na e zamani, hivyo Diamond ameamua kuwapa urithi watoto wake wawili Nillan na Dully.
Tazama video hapo chini
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
Ni vizuri kama ameamua kufanya hivo... BongoSwaggz
ReplyDeleteWote hao hawakurithi maana umewazaa nje ya ndoa, anaekurithi ni mamayako na babayako, na hata babayako kama hakumuoa mamayako pia hafai kukurithi
ReplyDelete