VIDEO: 'Serikali Inafurahia Viongozi Wa Upinzani Wanavyouwa?' Mtatiro Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi CUF,  Julius Mtatiro amesema kukaa kimya kwa Serikali pindi wanapouawa Viongozi wa Vyama vya Upinzani kunaashiria kuwa Serikali inafurahia vifo hivyo hali ambayo inawafanya wauaji waendelee kufanya mauaji hayo kwa kuwa hawakemewi na Serikali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mfyuuuu! Kibiti walikufa viongozi wengi wa CCM ndio kusema na nyinyi wapinzani mlifurahi? au mkuki kwa nguruwe........?? Umesahau maneno ya John Mnyika bungeni aliposema hayo mauaji ya kibiti yatahamia sehemu nyingine? Muulizeni Mnyika alijuaje....maana ni kweli yanatokea kama alivyosema......iko siku hiyo siri yenu ITAFICHUKA....CUF mungiki

    ReplyDelete

Top Post Ad