Wanaodaiwa Kuwa Wafuasi Chadema Waliokamatwa Siku ya Kifo cha Akwilina Warudishwa Rumande Baada ya Kukosa Dhamana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Watu 28 wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chadema wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakituhumiwa kufanya mkusanyiko usio halali na kinyume na sheria.

Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo mbele ya hakimu mkazi, Godfrey Mwambapa na kusomewa shtaka la kufanya mkusanyiko usiyo halali.

Washtakiwa kwa pamoja wanadaiwa walitenda kosa hilo Februari 16, 2018  katika barabara ya Kawawa eneo la Mkwajuni wilayani Kinondoni.

Wamekana shtaka hilo na kurudishwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na mdhamini mmoja atakayesaini hati ya Sh1.5milioni kwa kila mmoja.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Machi 3, 2018 itakapotajwa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo ndio faida ya UKAMANDA, hilo lenu peke yenu, sasa tuone hao mlio-waandamania kama watakuja watetea ...mfyuuu, hamjifunzi kwa wenzenu wa Arusha, walipoteza maisha yao na hakuna hata kiongozi mmoja alowajali....tukio hili liwe fundisho kwa wengine wanaopenda SIFA ZA KIJINGA na KUFUATA-MKUMBO......hakuna cha mbowe wala nani atakayewapelekea japo uji sero......

    ReplyDelete

Top Post Ad