AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kiatu aina ya Balenciaga alichonunua Zari kwaajili ya watoto wake kinauzwa Dola 692 za Kimarekani ambapo ni zaidi ya shilingi Milioni 1.5 za Kitanzania kwa pair moja ya kiatu.
Kupitia Snapchat account ya Zari aliandika “Ni kwa ajili yangu na watoto wangu tutavivaa wote vikiwa vyeusi” hiyo ni baada ya Zari kununua viatu hivyo ndio akaamua kuvipost Snapchat.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kwahiyo tufanyeje..
ReplyDeleteeti tufanyeje???
ReplyDelete