Afungwa Jela kwa Kosa la Kumchezea Rafu Rais Uwanjani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Afungwa Jela kwa Kosa la Kumchezea Rafu Rais Uwanjani
Watu wawili ambao wamefungwa jela baada ya kumchezea vibaya Rais Pierre Nkurunziza katika mchezo wa mpira wa miguu uliomshirikisha Rai huyo wa Burundi.
 
Rais Nkurunziza ambaye pia ni anasali katika Kanisa la Evangelical Christian hupenda kusafiri na Timu yake ya mpira wa miguu ya Haleluya FC pamoja na Kwaya  iitwayo “Komeza Gusenga”
Timu ya Rais Nkurunziza ilikuwa ikicheza na timu nyingine kutoka Kaskazini mwa nchi hiyo katika Mji wa Kiremba.


Katika mchezo huo uliowajumuisha wakimbizi wa kutoka Congo ambao hawakufahamu kama Rais Nkurunziza pia ni miongoni mwa mchezaji.

Mara nyingi Rais Nkurunziza anapocheza katika michezo ya kirafiki wapinzani wake humpatia nafasi ya upendeleo na kumuache atawale na hata kufunga magoli lakini katika mchezo huo haikuwa hivyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad