Ashtakiwa Kumnyanyasa Kingono Mtoto Kipofu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ashtakiwa Kumnyanyasa Kingono Mtoto Kipofu
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 31 amefikishwa mahakamani nchini Kenya baada ya kushtakiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya mtoto kipofu mwenye umri wa miaka 17 katika eneo la Kiandutu huko Thika nchini humo.

Mshtakiwa huyo Catherine Syokau, ambaye ni mama wa watoto saba, alifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Grace Omodho ambapo mtuhumiwa alikanusha mashtaka hayo na akaachiliwa kwa dhamana ya Ksh.500,000.

Imeelezwa kuwa mwanamke huyo alikwenda kwa siri kwenye chumba anachokaa mtoto huyo ambacho ni cha kupanga jioni ya Februari 25, 2018 ambako alianza kumvua nguo mtoto huyo na kumshawishi, kisha kuanza kumchezea sehemu zake za siri.

Mwanamke huyo pia anashtakiwa kumtishia kwa kisu mtoto huyo ya kwamba atamuua kama atasema kilichotokea.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad