Diamond Akumbuka Mahaba ya Wema Sepetu “Ameshawahi Kuniliza Sana”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Akumbuka Mahaba  ya Wema Sepetu “Ameshawahi Kuniliza Sana”

Mapenzi ni matamu kuzidi asali, lakini ukitendwa huwa machungu zaidi ya shubiri. Diamond Platnumz amemtaja mrembo ambaye amewahi kumtoa chozi wakat wapo kwenye mahusiano.

Hitmaker huyo wa African Beauty, amemtaja mrembo huyo ni malkia wa filamu nchini Wema Sepetu.

Akiongea kwenye kipindi cha Msetoea cha Radio Citizen, Diamond amesema, “Enzi za mahusiano yangu na Wema, ameshawahi kuniliza sana.”

Bosi huyo wa WCB pia ameongeza kuwa Babu Tale aliwahi kumwambia ajiweke pembeni kwenye mahusiano hayo wakati yupo na Wema kutokana na penzi hilo kutokuwa sawa, hata hivyo yeye alimjibu kuwa akiwa na mrembo huyo ni kama yupo peponi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad