AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Sabrina amefanya interview na mtangazaji Soudy Brown wa Clouds Fm katika kipindi cha U Heard na amesema kuwa Bob Junior amempiga kutokana na yeye kumwambia waachane kwasababu haoni maisha yakiendelea kati yao na amekuwa akilazimisha mapenzi.
Sabrina amesema…...>>>“Kweli kuna matatizo yametokea, unajua mtu huwezi kulazimisha mapenzi nikikwambia it’s over its over lakini yeye anaforce mapenzi, ananipiga mambo ya zamani kwanza siku hizi mwanamke hapigwi unanipiga umenitolea mahari?
“Nimeona hana future nikaamua kumuacha lakini mtu hataki kuelewa anakuja ananipiga mi naona kama naonewa”
Sabrina na Bob Junior inasemekana kuwa wamekuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa zaidi ya miaka nane hata kabla ya Bob Junior kufunga ndoa na aliyekuwa mke wake Halima.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ukoo wa kina Bob Junior wanayo tabia ya kupiga wanawake huo ni uonevu
ReplyDelete