Mashabiki wa Al Masry Wamtetea Bocco " Mwamuzi Hakutumia Busara"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mashabiki wa Al Masry Wamtetea Bocco " Mwamuzi Hakutumia Busara"PAMOJA na mwamuzi kutoka Eritrea kumlamba kadi ya njano nahodha wa Simba, John Bocco akimtuhumu kumkanyaga mtoto, mashabiki wa Al Masry wamepinga hilo na kusema mwamuzi hakutumia busara.

Bocco aliteleza na kuanguka wakati akiufuata mpira uliotoka. Alipoanguka alijikuta anamkanyanga mtoto muokota mipira ambaye alilazimika kupata matibabu.

Baada ya mechi mashabiki wa Al Masry walionekana wakimpa pole Bocco kutokana na kilichotokea. Wengine waliliambia Championi Jumatatu kuwa mwamuzi hakuonyesha busara kumuadhibu Bocco ambaye wanadhani hakukosea.

Simba ilitoka suluhu katika mchezo huo na kutolewa kwa jumla ya mabao 2-2, baada ya kuruhusu mabao mawili ya ugenini katika mchezo wa kwanza jijini Dar es Salaam.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad