Haya Hapa Maamuzi ya Shilole Baada ya Zari na Wema Kupost Maua Yao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haya Hapa Maamuzi ya Shilole Baada ya Zari na Wema Kupost Maua Yao
Leo March 19,2018 story inayo-trend kwenye mitandao ya kijamii ni hii baada ya Wema Sepetu ku-post picha ya ua rose jekundu  na kuwa tofauti na wengine hii ni kutokana na  wengi kuzoea kuona ua jeusi ku-trend na kutafsriwa kama ishara ya penzi kuvunjika.

Ila kwa upande wa staa wa muziki Shilole “Shishi baby” ameamua kuja na maamuzi yake juu ya ua lake mwenyewe la rangi ya pink baada ya kila mtu ku-post picha ya ua rose jekundu na wengine ua rose jeusi na maamuzi yake ameyaweka wazi kupitia account yake ya instagram

Shilole ameandika…… >>>Yalianza meusi  yamekuja mekundu let me choose mine #roseschallenge #pinkroseForShishi nimeweka na kizungu ili tuelewane mata

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad