Nuh Mziwanda Aonyesha Mjengo Wake Anaoujenga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Nuh Mziwanda Aonyesha Mjengo Wake Anaoujenga
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda anayetamba na ngoma yake mpya ya “Upofu” amerudi tena kwenye headlines leo March 28,2018 baada ya kupost picha akionyesha nyumba anayojenga.

Kutokana na post ya Nuh Mziwanda ameandika ujumbe ambao umetafsiriwa na wengi kuwa unawalenga wale wote ambao wanahisi kuwa hafanyi vitu ambavyo havimletei maendeleo na kumuona kama mjinga na kusema kuwa anafanya vyote kwaajili ya mtoto wake Anya.

Nuh Mziwanda ameandika……..>>>“Mjini Wengi Wajanja Wao ‘Sisi Wajinga Daily hatuna Mipango ‘ila kila Mafanikio yapo Moyoni Mwa Mtu ‘Acha tu endelee kuchorana tu. hii hapa ya Mwanangu Anya Kwa Nguvu za Mungu imefikia Hapo #KivuleMoja .Endeleeni Kumzungumzia Nuh halafu Mie nafanya Wonders (Harakati Za kuepuka kulipa kodi 😂)”


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo hana nyumba ni muongo tu akina Wema Sepetu wapangishe halafu huyu dogo ndiyo ajenge nyumba wabongo bwana kwa kujisifia kuwa wana mahela na nyumba kumbe miyeyusho tu mwisho wasiku mnaumbua

    ReplyDelete

Top Post Ad