Kesi ya Malinzi na Wenzake Yaiva Mahakama Kuwasomea Maelezo ya Awali April 11

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kesi ya Malinzi na Wenzake Yaiva Mahakama Kuwasomea Maelezo ya Awali April 11
Hatimaye upelelezi wa kesi ya utakatishaji fedha wa USD 375,418 inayomkabili aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na wenzake umekamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU, Leonard Swai amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika.

Baada ya kueleza hayo, Swai aliiomba mahakama kupanga tarehe nyingine kwa ajili ya washtakiwa hao kusomewa maelezo ya awali (Ph).

Baada ya kueleza, Hakimu Mashauri ameahirisha kesi hiyo hadi April 11, 2018 kwa ajili ya washtakiwa kusomewa maelezo ya awali.

Mbali ya Malinzi, washtakiwa wengine ni Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine na Mhasibu wa TFF, Nsiande Mwanga.

Washtakiwa hao walipandishwa  kizimbani kwa mara ya kwanza June 29,2017, wakikabiliwa na mashtaka 28 ya kughushi na kutakatisha fedha USD 375,418. 7
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad