Wolper Asahau Maumivu ya Kuachwa Asema “Sijawahi Kuumia Kuachana na Mwanaume"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wolper Asahau Maumivu ya Kuachwa Asema “Sijawahi Kuumia Kuachana na Mwanaume"
STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa licha ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume tofauti na kubwagana nao, kamwe hajawahi kuumia kuachana nao.

Akichonga na Showbiz Xtra, Wolper alisema alikuwa na kawaida ya kuwaanika wanaume aliokuwa akiingia nao kwenye uhusiano ili watu wote wajue akidhani itakuwa ngumu kusalitiwa lakini ikawa kinyume chake na kuachana nao jambo ambalo hajawahi kujutia au kuumia kwa kuwa akiachana na mtu anaangalia waliopo kwenye foleni anachangua tu anayemtaka.

“Sijawahi kuumia kuachana na mwanaume ila kinachoniumiza sana ni kwa nini nilimtangaza watu wakamjua ndiyo maana kwa sasa sitaki tena kumtangaza niliyenaye, siwezi kuumizwa na kuachana kwa kuwa unakuta wengi wako kwenye foleni naangalia mwenye sifa za kuwa nami sichagui ana kazi au fedha naangalia mwenye mapenzi,” alisema Wolper.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Malaya mbovu eti foleni nachagua tu ninayemtaka very soon sura itaanza kukunjana na hapo itaku-cost saba kumpata mtu wa kukubandua matokeo yake utaanza kuhonga wanaume ili wakubandue"Time will tell"

    ReplyDelete

Top Post Ad