Hatimaye Daimond Azindua Wimbo wake wa Kombe la Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye Daimond Azindua Wimbo wake wa Kombe la Dunia
MSANII wa bongo fleva, Diamond Platnumz amepata shavu la kusikika Katika wimbo utakaosherehesha Kombe la Dunia 2018 wimbo uitwao Colours nyimbo iliyofanywa na Diamond akishirikiana na Jason Derulo.Wimbo huo ambao umetayarishwa na prodyuza Nahreel kwa kushirikiana na Ma prodyuza kutoka nchi nyingine, umedhaminiwa na kampuni ya ya coca cola Tanzania.

Wimbo huo maalum wa kombe la dunia 2018 umezinduliwa leo Katika Hotel ya Hyatt, jijini Dar es Salaam, ambapo Diamond, Nahreel na msemaji wa Coca Cola wamesema wamesha uachia hewani wimbo huo hivyo unapatikana kwenye mitandao mbalimbali.




----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad