AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ommy Dimpoz ameiambia Bongo5 kuwa hawezi kuzungumzia hilo kwa sasa na hajui stori hizo zimetoka wapi.
“Mimi sijui chochote na sijui hizo stori zimetoka wapi na zimeanzia wapi lakini kikubwa sisi kama wasanii unajua kila siku vitu ambavyo vinatuzunguka ni mambo ya mitandao, kwa hiyo in short no comment,” amesema.
Wiki iliyopita katika mahojiano na Jonijoo kupitia Now You Know msanii Lulu aliulizwa kati ya Jux na Ommy Dimpoz anaweza kuolewa na nani endapo wakitokeza kwa pamoja.
“Jux sawa, Dimpoz hajakaa kama mwanaume, Ommy Dimpoz hawezi kukaa au kushindana na Jux ni zero, hana mvuto wowote , hamna chochote kinachonivutia kutoka kwake,” amesema.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK