Lemutuz Naye Ahadi kuleta Facts Kuhusu report ya CAG

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

From @lemutuz_superbrand - Guys nimewasikia Wananchi wengi sana kuhusu habari zinazodaiwa na Mbunge mmoja wa Upinzani kua kuna 1.5 Trillioni ambazo zimeibiwa na Serikali ya sasa ...so far ni tuhuma tu ambazo binafsi ninazifanyia sana kazi ili kupata FACTS ....naomba muda kidogo like Siku 2 to 3 nikishapata FACTS nitaziweka hapa hapa it does not matter the FACTS kama zimeibiwa kweli nitalilia waliohusika wafikishwe kwenye mkondo wa Sheria na kama Mbunge anasema Uongo na yeye atatakiwa kufikishwa kwenye mkondo huo huo wa Sheria...so subra my people cause nimewasikia....na hapa ni UWANJA WA FACTS nothing but the truth I mean FACTS BABE! - By lemutuz
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nilipata nafasi ya kumsikiliza Humphrey Pole Pole katibu mwennezi wa CCM maelezo na ufafanuzi wake kwa kweli amejibu na kuweka kila kitu wazi kwa ufasaha kabisa kuhusiana na suala Zima la madai ya Zito Kabwe Kwamba kulikuwa na udokozi katika taarifa ya hesabu ya mkaguzi mkuu wa serikali. Kutokana na uweledi wangu mimi binafsi Zito Kabwe kaekewa mtego wa kisasi na serikali ya CCM juu ya suala hili lakini masikini Zito Kabwe kutokana na hulka yake ya kukurupuka akaenda kuuvamia ule mtego. Ikumbukwe Zito Kabwe amekuwa na mabishano ya muda mrefu na serikali kuhusiana na taarifa ya za hesabu na matumizi ya serikali. Ninaimani kabisa CCM si wapumbavu kiasi hicho cha kwenda kuianika ile taarifa hadharani bila yakuwa na maelezo kamilifu ya kuelezea mapungufu yake. Kwangu mimi ile taarifa ni chambo kilichotupwa kikisubiri kumnasa mtu. Zito Kabwe anafikiri ni smart lakini ukweli ni kwamba Zito ni Mpumbavu. Na ukitaka kujua kuwa Zito ni Mpumbavu basi kipimo kimoja ni pale anapohangaika na kupoteza muda wake kupambana na CCM badala ya kupambana kuimarisha chama chake cha siasa. Utaona leo Pole Pole kajitokeza kujibu hoja za zito. Kesho utakuja kumsikia Lucinde wa DODOMA anajibu na kesho yake unaweza kumsikia Msukuma akijibu hoja hiyo hiyo. Sasa katika mtizamo wa haraka haraka utagunduwa Zito Kabwe ana matatizo Kwani vita anavyovianzisha juu ya CCM ndio inayokimaliza chama chake kwa kuwa hoja nyingi za Zito huishia kushindwa na CCM na kuwa uongo na Zito kuonekana kuwa mnafiki miongoni mwa watanzania waliowengi lakini kamwe huwezi kuona Zito akijifunza kutokana na makosa anayoyafanya na huo ndio upumbavu halisi wa Zito wa kutojifunza kutokana na makosa yake kufikiri kila siku kuwa yeye yuko right.

    ReplyDelete

Top Post Ad