AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Prince William ameeleza hayo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Mama Samia leo katika Jumba la Kifalme la Buckingham Palace nchini Uingereza ambapo Makamu wa Rais amekwenda kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa nchi za jumuiya ya Madola.
Kwa upande wake Makamu wa Rais alimweleza Prince William kuwa Tanzania inatambua mchango wake katika kuzuia ujangili wa wanyama pori na serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua mbalimbali ya kupambana na kuzuia ujangili ingawa bado haijawa na teknolojia yenye uwezo wa wa kutambua na kuona wanyama wote lakini wameendelea kuimarisha ulinzi wa wanyama pori.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kwanini watake kumualika Rais wetu katika masuala ya wanyama pori wakati Waziri husika wa mali asili yupo? Jitihada kubwa zinafanyika kutoka nchi za kibepari kuhakikisha Magufuli anakwenda kule kwanini?
ReplyDelete