Mwanaume wa Miaka 69 Akutwa Amekufa Kanisani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanaume wa Miaka 69 Akutwa Amekufa Kanisani
Mwanaume mmoja anayetajwa kuwa na umri wa miaka 69 siku za hivi karibuni amekutwa akiwa amefariki katika Kanisa la Anglicana huki Ngerwe, katika jimbo la Embu nchini Kenya.

Inaelezwa kuwa marehemu Jason Nyaga Njiru alikuwa akifanya kazi kama mlinzi kwenye kanisa hilo. Mwili wake ulikutwa kwenye nyumba ya mbao ambayo iko katika eneo hilo la kanisa ambapo alikuwa akijikinga na mvua zinazoendelea.

Familia iliyomfanya mtoto wao wa kike kuwa ‘wa kiume’

Askari Polisi wa jimbo hilo Mark Wanjala ameeleza kuwa walitaarifiwa na mtoto wa marehemu kuwa baba yake hajarudi nyumbani tangu alipokwenda kazini jana yake usiku.

Hata hivyo mwili wa marehemu haujakutwa na majeraha yeyote na tayari umekwenda kuhifadhiwa hospitali.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad