Nilichogundua Kuhusu Wanawake wa Mombasa...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia harusi ya Kiba Azam tv nimegundua mambo kadhaa kuhusu wanawake wa mombasa....
1.Ni wanawake wanaopenda kujisitiri maungo yao yani wanajua thamani ya miili yao...ushuhuda angalia walivyovaa hapo ukumbini kama wapo msibani vile madela na mashungi kibao assume hapo ingekua Dar es Salaam..mapaja nje nje

2.Ni wazi kuwa Wanawake wa Mombasa wanawazimia sana wanaume wa Bongo ....ushuhuda dada mmoja kaulizwa na mtangazaji umependa nini kwenye harusi hii...amejibu amependa wabongo.."Tz wako na swaga sana"

3.Wanawake wa Mombasa wana mzuka sana na taarabu za kibongo hasa za Isha Mashauzi..ushuhuda nyimbo nyingi ukumbini zinapigwa taarabu za Isha nA wanapata vibe ya kucheza kuliko hata zikipigwa ngoma za Bwana harusi muitikio hakuna.(mc kila muda dj weka mashauzi)

4.Wanawake wa Mombasa inaonekana ndio wapenzi wa burudani na sherehe kuliko wanaume au kwa lugha nyingine wanawake wa mombasa ni wajanja kuliko wanaume....ushuhuda 99% ya waliohudhuria ukumbini ni wanawake,hii labda ni kutokana na wanaume wa mombasa wengi labda ni maustadhi sana au vinginevyo

5.Mombasa haina tofauti na Tanga,tamaduni zao zinafanana kwa namna moja ama nyingine,labda kwa vile wanapakana.

Mwisho Kabisa kiroho safi kabisa Ukubw Wa tukio hili haukupaswa kuwa na uchangamfu hafifu pale ukumbini na kukosekana kwa Celebrity wakubwa kutoka Kenya...licha ya ukumbi kupambwa kwa namna ya kipekee unavutia sana naamini kabisa sherehe itakayo fanya bongo itakua si mchezo,funga kazi.

SOMA PIA: 24 Job Opportunities at Tanzania Rural and Urban Roads Agency (TARURA) Mwanza
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad