Sharti la Kuripoti kwa RPC ni Gumu -Dr. Mashinji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sharti la Kuripoti kwa RPC ni Gumu -Dr. Mashinji
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Vincent Mashinji amesema sharti la kuripoti kituo Kikuu cha Polisi Central ni gumu kulingana na kazi wanazozifanya.

Dr. Mashinji ameyasema hayo baada ya yeye na Viongozi wenzake wa chama hicho kuripoti kituoni hapo ikiwa ni sehemu ya sharti la dhamana walilopewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Akizungumza na waandishi wa Habari, Dr. Mashinji amesema, “Iliamuriwa na mahakama kila siku ya Ijumaa turipoti kwa RPC hapa Central Polisi ikiwa kama sehemu ya sharti la dhamana tulilopewa mahakamani kwenye ile kesi yetu inayojumuisha watu 9”

“Kimsingi ukiangalia ni sharti gumu kwani nature ya kazi zetu inatutaka kusafiri kwenda kujenga chama, hivyo tunashindwa ila kwa vile ni amri ya mahakama lazima tutekeleze kwani ndio inatenda haki,” -Dr. Mashinji.

Pia Dr. Mashinji amesema kama mahakama itaridhia kuwaondolea sharti hilo itawasaidia sana.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad