Simba, Mtibwa Sugar Kuonyeshana Ubabe Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Simba, Mtibwa Sugar Kuonyeshana Ubabe LeoKlabu ya soka ya Simba kupitia kwa kocha wake msaidizi Masoud Djuma imewataka mashabiki wao kujitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro kwenye mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar leo.


Akiongea kuelekea mchezo huo wa leo Masoud amesema mashabiki wajitokeze kwa wingi kuipa nguvu timu hiyo na wao kama benchi la ufundi na wachezaji watafanya kazi yao uwanjani ambayo ni kusaka alama tatu.

''Nachoweza kusema ni kuwakaribisha tu mashabiki mana sisi tumeshafanya maandalizi yetu vizuri na wao wakija watupe nguvu tu sisi tutafanya kazi yetu uwanjani, ni mchezo mgumu lakini tumejiandaa kushinda'', amesema.


Simba ambayo inaongoza msimamo wa ligi ikiwa na alama 49 kwenye michezo yake 21 itakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Mtibwa Sugar ambayo ipo kwenye kiwango kizuri ikitoka kushinda ugenini dhidi ya Singida United.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad