Simba Yajichimbia Moro kwa Maandalizi Dhidi ya Yanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Simba Yajichimbia Moro kwa Maandalizi Dhidi ya Yanga
Kikosi cha Simba kinaanza maandalizi yake rasmi leo kwa ajili ya mchezo dhidi ya watani wake wa jadi, Yanga, utakaopigwa Aprili 29 2018.

Simba ilirejea jana mjini Morogro kuweka kambi maalum kujiandaa na mechi hiyo ambayo huteka hisia za wapenzi na mshabiki wa soka nchini.

Kikosi hicho kilitua Morogoro jana baada ya kuvuna alama moja mjini Iringa dhidi ya Njombe kwenye mchezo wa ligi kuu baada ya matokeo ya sare ya 1-1.

Mpaka sasa Simba wapo kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 59 wakati watani zao wa jadi Yanga wana 48.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad