Yanga Waamua Kuifata Simba Morogoro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yanga Waamua Kuifata Simba Morogoro 
Baada ya kwenda sare ya bao 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, kikosi cha Yanga nacho kimeamua kuweka kambi


mjini Morogoro.

Yanga imeweka kambi maalum Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya ligi dhidi ya watani wake wa jadi, Simba SC, itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Aprili 29 2018.

Kikosi hicho kimeanza mazoezi yake jana kwenye Uwanja wa Jamhuri ikiwa ni takribani siku tano pekee zikiwa zimesalia kuelekea mechi hiyo inayoteka hisia za watu.

Mbali na Yanga, Simba nao walikuwa wa kwanza kutia miguu mjini humo baada ya mechi yake ya ligi na Lipuli, ambapo inafanyia mazoezi yake kwenye Uwanja wa Chuo Cha Biblia.

Hivyo timu zote hizo, Simba na Yanga, zipo Morogoro hivi sasa kabla hazijakutana kwenye mtanange wa Jumapili ya wiki hii.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad