Baada ya Alikiba Kuingiza Kinywaji Sokoni Nandy Afunguka Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Alikiba Kuingiza Kinywaji Sokoni Nandy Afunguka Haya
Hitmaker wa ngoma ya Kivuruge, Nandy amesema hatua aliyopiga Alikiba kwa kuingiza sokoni bidhaa yake ya energy drink ni moja ya vitu ambayo vimemuhamasisha kufanya vitu vikubwa.

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘Ninogeshe’ ameiambia The Playlist ya Times FM kuwa hivyo ni vitu ambavyo wasanii wa sasa wanapaswa kuiga, yaani kuwekeza nje ya muziki.

“Tuweke maneno pembeni, kwa kweli nilivyoona alivyotambulisha kinywaji chake alini-inspre kutoka moyoni mwangu,” amesema Nandy.

“Ameni-inspire kwa kinywaji kwa sababu ukiangalia the parkage ya kinywaji chake jinsi ilivyo ni project fulani ambayo ipo serious,” amesisitiza.

Muimbaji huyo aliendelea kwa kusema si Alikiba pekee amevutiwa naye katika kuwekeza nje ya muziki bali hata Diamond Platnumz.

“Tunaambiwa nje ya kuimba tunatakiwa tuwekeze nje ya muziki wetu na ndicho hiki kaka zetu wanafanya ukimuangalia kama Diamond, Alikiba ni vitu ambavyo wanatuhamasisha,” amesema.

Utakumbuka usiku wa April 29, 2018 wakati wa harusi ya Alikiba ndipo hitmaker huyo wa ngoma ‘Seduce Me’, Alikiba alitangaza ujio wa bidhaa yake ya energy drink, MO FAYA
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad