Nisije Kukufuru Mungu Ninayo Pesa ya Kubadirisha Mboga- Aslay

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nisije Kukufuru Mungu  Ninayo Pesa ya Kubadirisha Mboga- Aslay
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Aslay Isihaka amefunguka kuwa anapesa inayotosha yeye kubadili mboga.

Aslay ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na eatv.tv ambapo amesema kuwa pesa anayo lakini sio ya kutisha sana inatosha kukidhi mahitaji yake na familia yake.

“Pesa ninayo ya kubadilishia mboga nisiseme sina kabisa ntakuwa nakufuru, inatosha kukidhi mahitaji yangu na familia yangu”.

Hivi karibuni msanii huyo alitajwa katika kundi la wasanii wa muziki wa kizazi kipya wenye pesa nchini zinazotokana na kazi zao.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad