VIDEO: Yanga Yakiri Simba Bingwa, Walilia Nafasi ya Pili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Klabu pinzania Tanzania Yanga ambayo ilijiwekea heshima kwa kuchukua ubingwa mara tatu mfululizo marahii baada ya kukosa ubingwa huo kwa kuchukuliwa na mpinzani wao mkubwa simba hatimaye wamekiri na kuridhia kuwa hawana budi kukubali matokeo.

Vile vile afisa habari wa Klabu ya yanga Dismas Ten amesema kutokana na kukosa ubingwa hawana budi kulinda heshima ya timu hiyo kwa kuiwania nafasi ya pili katika mechi zilizo baki ambapo leo watachuana na Ruvu shooting timu ambayo Temu amedai kuwa ni timu ngumu kutokana na kuwa na matokeo mazuri msimu huu ila wana imani ya kuifunga timu hiyo, na kudai kuwa wachezaje wake wote wako vizuri kwa kupambana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad