Hamisa Mobetto atoa kali, awaonea huruma wabongo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanamitindo Hamisa Mobetto bado anachukua headlines zake za kiburudani Bongo. 

Time hii Hamisa amesema anatamani kuondoka Tanzania ila anawaza wale wanaomzunguka wataishi vipi. Kupitia Instagram ameandika; 

" Sometimes, Natamani Kuondoka Tanzania nafika hadi airport ila najiuliza Watanzania Wenzangu Wataishije Bila Mimi," 

Hamisa Mobetto amekuwa hakauki kwenye vyombo vya habari hasa mitandaoni hasa pale alipoweka wazi kuwa baba wa mtoto wake wa pili ni Diamond Platnumz. 

Si mtu wa kusafiri sana nje ya Tanzania, mara ya mwisho kuweka wazi kuwa yupo nje ya nchi ni pale alipoenda nchini Uganda kwa ajili ya party yake, Gal Power iliyofanyika December 21, 2017.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad